Wednesday, October 5, 2011

Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma awasili kwenye kituo chake cha kazi rasmi

Mkuu mpya wa mkoa wa Ruvuma Mh Said Thabit Mwambungu akisalimiana na watumishi wa ofisi yake mara baada ya kuwasili kwa mara ya kwanza kuanza kazi ya kuongoza mkoa huo.Kulia kwake ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa Dtk Anselm Tarimo.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akisaini kitabu cha wageni katika ofisi yake mpya mara baada ya kuripoti kuanza kazi ya kuongoza shughuli za serikali mkoani Ruvuma.Kushoto ni aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Dkt Christine Gabriel Ishengoma ambaye sasa ameahamia mkoa wa Iringa.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akipokea hati ya makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Dkt Christine Gabriel Ishengoma tukio hilo lilifanyika leo na kushuhudiwa na wakuu wa sehemu na vitengo mbalimbali mkoani humo hivi karibuni

No comments: