Thursday, October 6, 2011

SMZ YAKUBALIANA NA IRANIAN RED CRESCENT MAKUBALIANO YA AWALI (MOU) KWA UJENZI WA HOSPITAL MBILI ZANZIBAR

Mh Maalim Seif Sharrif Hamad Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar akitoa shukrani baada ya Sherehe za makubaliano hayo ya awali huko Dubai
Mh Maalim Seif akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Iranian Red Crescent Hospital Dr. Parviz Afshar
Waziri wa Afya Zanzibar Mh Juma Duni Haji akitiliana sahihi katika MOU na Rais wa Iranian Red Crescent Dr Abolhassan Faghi kwa ajili ya ujenzi wa hospitali mbili, mjini Unguja na Wete Pemba.
Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai na Emarati za kaskazini UAE Mh Ali Ahmed Saleh akitiliana sahihi katika MOU na Mkurugenzi wa Iranian Red Crescent Dubai Dr Parviz Afshar ili kuwapatia Watanzania waishio UAE na kutoka Tanzania matibabu kwa bei nafuu na maalum (Special Preferential Rates)

No comments: