Tuesday, October 11, 2011

Picha Za Shughuli Za Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salam

Rais Jakaya Kikwete(Kulia)akimkaribisha Ikulu Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Klaus-Peter Brandes na baadae kufanya nae mazungumzo ikulu Jijini Dar es Salaam 
Rais Jakaya Kikwete akiongoza Kikao Maalum cha Wadau wa Sekta ya Nishati Nchini kilichofanyika ikulu Jijini Dar es Salaam .
Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments: