Tuesday, October 11, 2011

WADAU WOTE TUNAWAOMBA MSAADA KUWASAIDIA WATOTO HAWA

Habari wadau wote munaotembelea mtandao huu ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania, Ndugu wadau kupitia mtandao huu l Familia y Bwa na Bibi Edwin inahitaji msaada wako wa hli na mali ili kuweza kunusuru afya za watoto wachanga ambao ni mapacha watatu. Mama yao mzazi hana maziwa ya kuwatoshereza watoto hawa, hivyo kutokana na ushahuri wa madaktari, walipendekeza watoto hawa kupewa maziwa ya ziada aina ya Lactogen no.1, ambayo ni ghari na familia haina uwezo wa kumudu gharama ya maziwa hayo. Hivyo wazazi wa watoto hawa wanaomba msaada kwa wasamalia wema na atakayeguswa na hali hii ili kuweza kunusuru afya za watoto wao. unaweza kuwasiliana na baba Mzazi, Edwin Dosantos, amabaye ni babwa watoto hao, namba 255719909085/ 0767646599 Ama mama wa watoto hao 0654336459. Ama unaweza kuwatembelea ilikufikisha mahitji hayo muhimu ya maziwa,nguo na fedha au chochote fika nyumbani kwao Kimara Mwisho...eneo la Matangini..

No comments: