Wanachama wa chadema wakiandamana mchana wa leo jijini Arusha maeneo ya clock tower karibu na ofisi za precision air wakielekea mitaa ya manispaa huku wakisikika wakisema "tumechoka kesi feki". zilikua zimeongoza piki piki na bendera.nimeshindwa kupata taswira kwa ubora zaidi maana jamaa walikua na
jazba sana nikapoteza timing.
Mdau Arusha.
No comments:
Post a Comment