Breaking News.... Mkoani Mwanza kuna Maandamano ya waislam yanayo sababisha vurugu kubwa muda huu
Mwanza kuna maandamano ya Waislam kupinga hukumu ya kupewa dhamana kwa watu waliochoma moto kitabu kitakatifu cha Quran.Milio ya risasi na mabomu ya machozi imesikika. Habari kamili itawajia muda si mrefu.
No comments:
Post a Comment