Tuesday, November 1, 2011

Kuelekea kuundwa Katiba Mpya, mchakato wapamba moto



Mhe. Ole Konnay, Mjumbe wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala akitoa ushauri wake wakati wa majadala.
Wajumbe wa Kamati
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala ikiwa imekaa leo katika Ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala Mhe. Tundu
Lisu akichangia leo wakati kamati hiyo ilipokutana Dar es Salaam kujadili Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011.
Mjumbe
wa Kamati ya Sheria, Katiba Utawala Mhe. Andrew Chenge akitoa angalizo
na ushauri wa kitaalamu wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya
Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana
Picha na Prosper Minja - Bunge
Kwa picha zaidi tembelea www.prince-minja.blogspot.com




No comments: