Wednesday, November 30, 2011

Mafuriko Mto wa Mbu

Mama
huyu anasubiri maji yapungue ili avuke. Hiii ndo hali halisi iliyopo
huko Mto wa Mbu. Hali ni ngumu na watu wapo katikia mazingira hatarishi.




Picha Zote Na Father Kidevu

No comments: