Wednesday, December 28, 2011

Ajali ya Gari la kubeba Mizigo Maeneo ya Soweto Mchana Huu


Hili ni Eneo la Soweto Jijini Mbeya ambapo Gari la Mizigo Lilimshinda Dereva kuruka na Kudondokea pembezoni mwa Bara bara Mchana huu. Hakuna taarifa ya Dereva na Konda wake kama walitoka salama.

No comments: