Friday, December 23, 2011

AJALI YATOKEA SINGIDA

:Askari wa usalama barabarani akitiza malori yaliyogongana uso kwa uso, katika eneo la Kisaki nje kidogo ya mji wa Singida jana saa moja usiku na kuhusisha lori namba T 460 ARL Scania iliyokuwa inavuta tela namba T 812 AAZ na lori lingine namba T 611 BHL Scania,liliokuwa na tela namba T 377 BLB, hata hivyo hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
:Askari wa usalama barabarani akikagua basi la kampuni ya Mohammed Trans lililopata ajali wakati likitokea Mwanza-Dar Es Salaam, katika eneo la Kisaki, nje kidogo ya mji wa Singida.Hakuna aliyejeruhiwa na abiria waliendela na safari baada ya kampuni kupeleka basi lingine.
Na Elisante John

No comments: