Monday, December 19, 2011

Breaking nuuuz: Mafuta yawa Gumzo Jijini Dar es salaam muda huu kituo kimoja cha Total Mlimani city ndio kuna mafuta










Hivi ndivyo halisi ilivyo muda huu ambapo watu wengi wana haha hakuna Mafuta popote zaidi ya Hapa Mlimani City Kituo cha Total

No comments: