Monday, December 19, 2011

DAVID KAFULILA AVULIWA UANACHAMA NCCR MAGEUZI

Habari zilizoufikia mtandao huu wa Sufianimafoto, zinasema kuwa Mbunge wake, David Kafulila, kwa kile kilichoelezwakuwa ni kutokana na utovu na nidhamu wa Mbunge huyo, aliyejizolea sifa lukuki akiwa mjengoni kwa mara ya kwanza.

No comments: