Breaking Nuuz: Wanafunzi Wa chuo kikuu huria waandamana kutaka mkopo wao muda huu
Wanafunzi Wa chuo kikuu huria wakiwa wamezingira ofisi za uhasibu wakidai fedha zao za mkopo kutoka bodi ya mikopo ambazo zinasemekana zimeshatumwa chuoni muda mrefu lakini chuo hakijawalipa wanafunzi hao
No comments:
Post a Comment