Monday, December 19, 2011

Kama Maisha wanayo ishi ndio kama haya je watakuwa na utendaji wa kazi mzuri?
Hii ndio hali halisi ya makazi wanayoishi walinda usalama wa nchi yani wanajeshi, Majengo kama yanavyo onekana yamechoka hakuna wa kujali wala hata kupaka rangi kuweka mwonekano uwe mzuri, wahusika kama wanaliona hili wawatazame wananchi hawa.  Hali si nzuri .

No comments: