Tuesday, December 6, 2011

Makamu wa Rais Dr Bilal ashiriki mkutano wa mabadiliko ya tabianchi mjini darban leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye mkutano wa majadiliano wa Viongozi wakuu wa Nchi wanachama 194 wa Itifaki wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi, juu ya kupunguza uzalishaji wa gesijoto Duniani kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 17 wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi Duniani uliofanyika leo mjini Daban.
(Picha VPO)

No comments: