Mh William Ngeleja Waziri wa Nishati na Madini akihutubia
Waziri Ngeleja akiwa na Mh Naibu Balozi Chabaka wakiongea na mwananchi |
David Tarimo Tanzanian tax expert with fellow delagates
Waziri akiwa na maafisa ubalozi na wajumbe wa jumuiya ya Watanzania London.Picha na Baraka Baraka |
---
Wawekezaji, wataalam na wafanyabiashara toka kona mbalimbali ulimwenguni
wamekaribishwa kwa mkono wa kheri kuendeleza uchumi na maendeleo ya
nchi yetu katika kipindi kinachofuatilia miaka 50 ya Uhuru.

Akiongea wakati wa Kongamano la Uwekezaji (Tanzania Investment Forum 2011) hoteli bab kubwa ya May
Fair jijini London jana Ijumaa, Waziri wa Nishati na Madini,
Mheshimiwa William Ngeleja alisema tuko katika kipindi kipya cha
maendeleo ya uchumi chenye manufaa kwa wafanyabiashara.

Waziri huyo ambaye kitaaluma ni mwanasheria aliuambia
mkutano kwa Kiingereza fasaha: “Miaka mitatu iliyopita Bongo
imebadilika toka mnunuzi wa bidhaa kuwa muuzaji wake. Mathalan siku hizi
tunaiuzia Kenya chakula. Ukilinganisha nchi yetu na nyinginezo Afrika ,
tumekuwa makini shauri ya amani na utulivu miaka 50 iliyopita.”

Hotuba
yake mheshimiwa ilikuwa miongoni mwa hoja nyingi zilizochambuliwa na
washiriki wazawa wa Uingereza, Norway, Afrika Kusini, Kenya, Marekani,
Uholanzi na Tanzania.

Soma habari zaidi :
No comments:
Post a Comment