Sunday, December 4, 2011

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Afungua Rasmi Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa maonesho ya miaka 50 ya
uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini
Dar es Salaam jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo yaa redio aliyoitumia marehemu mwalimu J.k Nyerere
wakati wa uhai wake,kutoka Paulo afisa muhifadi makumbusho ya
taifa,wakati wa alipotembela maonesho maonesho ya miaka 50 ya uhuru wa
Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es
Salaam jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi mtendaji katika Afisi ya
Rais wa tanzania Ladius J. Mwamanga,alipotembelea maonesho ya bidhaa za
chakula katika banda la Afisi hiyo jana,katika mwendelezo wa miaka 50 ya
uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini
Dar es Salaam jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akiangalia zana za kilimo na kupata maelezo kutoka kwa Afisa
,katika Wizara ya kilimo Chakula na ushirika Linus A. ngowi,baada ya
ufunguzi wa maonesho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja
wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es Salaam jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(wa tatu kulia) akiangalia mashine ya kufyatulia matufali wakati
alipotembelea maonesho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika
uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es Salaam jana,katika
mabandaya Vikosi vya ulinzi,ikiwa ni miongoni mwa taasisi mbali mbali
zilizoshiriki katika maonnesho hayo.Picha zote na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments: