Monday, December 12, 2011

Rais Jakaya Kikwete Anunua Shati La Batiki Kwa Mjasiriamali

Rais Jakaya Kikwete,akipimwa shati la batiki na mpambe wake, huku naye akijipima na hatimaye kulinunua kwa kulipa sh.30,000 kwa Mjasiriamali Tasiano Tungaraza jana katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Tungaraza ni miongoni mwa Wajasiriamali waliokuwa banda la Ofisi ya Ikulu ambao wamewezeshwa na Mpango wa Kurasimisha Rasirimali za Wanyonge na Biashara MKURABITA).Picha na Mdau Richard Mwaikenda


No comments: