Wednesday, December 7, 2011

Rais Kikwete azindua jengo la pspf a.k.a liwazo la wastaafu leo jijini dar.


Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la Golden Jubilee Towers,jijini Dar leo,shoto ni Waziri wa Fedha na Uchumi,Mh Mustafa Mkulo na kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi,Bw.George Yambesi


Rais Kikwete akifungua pazia kuashiria kuwa jengo hilo limezinduliwa rasmi.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa shirika hilo,baadhi ya viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wafanyakazi mara baada ya ufunguzi wa jengo hilo la PSPF a.k.a Tulizo la Wastaafu.

Rais Kikwete akionyeshwa mandhari ya jengo hilo kwa nje inavyoonekana ukiwa kwa ndani.Kwa picha zaidi Bofya Hapa

No comments: