Thursday, January 26, 2012

BREAKING NEWS ! MHE. GALINOMA AFARIKI DUNIA MJINI IRINGA!

Marehemu Mheshimiwa GalinomaAliyekua mbuge wa Kalenga,Iringa amefariki dunia Leo mapema,
Taarifa kamili imedhibitisha kuwa mheshimiwa Galinoma amefariki
Dunia leo hasubui mjini Iringa ndani ya gari akiwa anaperekwa hosptalini
kutoke kalanga,ambako alikokuwa anaishi.
Mheshimiwa Galinoma ,alikuwa mtumishi wa serikali mstaafu aliyeshika
nafasi mbali mbali katika uhai wake zikiwe Katibu mkuu idara ya ulinzi na
jeshi la kujenga taifa,mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mbuga za wanyama
poli,mwenyekiti wa bodi ya mashirika ya Umma(SCOPO),Katibu wa tume ya uchunguzi
wa viongozi,pia amewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kalenga ,Iringa
Marehemu Mhe.Bw.Galinoma alikuwa anaugua kwa mda mrefu pia aliwahi kuenda India
kwa matibabu alikua huko wiki 6, na alipata nafuu kwa kiasi fulani lakini baadae alizidiwa tena.
Marehemu ameacha wajukuu na watoto ,miongoni mwa watoto wa wake ni wanamuziki
Innocent na Buti Jiwe aka Enry Galinoma.
Taaritibu za mazishi zitatolewa si muda mrefu.


Mungu amlaze mahala pema peponi.

Kwa habari zaidi za msiba wasiliana na Joseph Galinoma kwa namba hii 00255716492048
au Denis Galinoma namba hii 00255784769945

2 comments:

Anonymous said...

R.I.P mzee Galinoma.mungu kakupenda zaidi

Anonymous said...

R.I.P mzee Galinoma.mungu kakupenda zaidi