Thursday, January 19, 2012

BREAKING NUUZ, MBUNGE WA ARUMERU JEREMIA SUMARI AFARIKI DUNIA

TAARIFA zilizotufikia katika mandao huu wa lATEST NEWS TZ, muda huu zinasema kuw Mbunge wa Jimbo la Arumeru kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Jeremia Sumari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hopitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa Kansa ya kichwa. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amina

No comments: