Tuesday, January 31, 2012

Dkt. Shein akutana na Balozi wa Marekani nchini leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenherts,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Ujumbe uliofuatana naBalozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenherts,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar.)

No comments: