Tuesday, January 31, 2012

KIKAO CHA KWANZA CHA BUNGE CHAANZA MJINI DODOMA

Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, wakiwa katika Ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma leo ambapo tayari leo hii wameanza Mkutano wa Sita Kikao cha
kwanza cha Bunge mjini Dodoma kinachojadmambo mbalimbali. Picha na Amani Tanzania

No comments: