Tuesday, January 31, 2012

Kutoka Viwanja vya Bunge Dodoma

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum(CCM)Rita Mlaki(katikati)Kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Busega Titus Kimani Kwenye Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Leo
Waziri Mkuu Akifurahia Jambo Kwenye Mazungumzo na kati yake na Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Adam Malima(Wa tatu Kulia),Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila (Wa Pili Kulia)na Mbunge wa Gairo Ahmed ShabibyNo comments: