Monday, January 9, 2012

Rais Kikwete akutana na ujumbe wa Rais wa Gambia leo

Rais Dkt. Jakaya kikwete akiwa na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia na Mjumbe Maalumu wa Rais Yahya Jammeh, Mh Lamin Kaba, ambaye kamletea ujumbe toka kwa Rais huyo Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya kikwete akipitia ujumbe kutoka kwa Rais wa Gambia,Mh. Yahya Jammeh alioletewa na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Picha na IKULU.

No comments: