Tuesday, January 10, 2012

Taasisi ya Victoria Foundation yatoa msaada wa Baiskeli za Walemavu Tarafa ya Bugando

Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kulia) akiwahutubia wakazi wa Tarafa ya Bugando,Jijini Mwanza wakati alipofika kwa ajili ya kutoa msaada wa Baiskeli za Walemavu waliopo kwenye Tarafa hiyo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata akisaidia kumuweka sawa mmoja wa walemavu waliopewa baiskeli hizo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kulia) akizungumza na mmoja wa wazee wa Tarafa hiyo ya Bugando mara baada ya kutoa msaada wa Baiskeli za Walemavu.
Sehemu ya Walemavu waliopewa Baiskeli hizo kutoka kwa Taasisi ya Victoria Foundation wakiwa wamekaa kwenye Baiskeli hizo.

No comments: