Tuesday, January 31, 2012

Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakitafakari wakati madaktari wakiwa bado kwenye mgomo katika viwanja vya hospitali hiyo Dar es Salaam jana
Wauguzi wa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakitafakari wakati madaktari wakiwa
bado kwenye mgomo katika viwanja vya hospitali hiyo Dar es Salaam jana.
Wauguzi hao wamedai wanashindwa kutimiza majukumu yao kutokana na
madaktari kutokuwepo kazini. (Picha na Robert Okanda)


No comments: