Sunday, February 19, 2012

Dkt. Bilal Ahutubia Wananchi Nkasi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mpanda Mkoa mpya wa Katavi, wakati alipofika wilaya
hiyo kuanza ziara ya mkoa mpya wa Katavi na Rukwa jana, Februari 18, 2012. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR

No comments: