Sunday, February 19, 2012

NAPE AHUDHURIA IBADA KATIKA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KAWE


Katibu
wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipongezwa na Mchungaji
Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, baada ya kutoa mahubiri
yake katika kipindi cha ‘Hekima za Viongozi’ alipohudhuria ibada ya
Kanisa hilo leo kwenye Viwanja vya kilichokuwa kiwanda cha kusindika
nyama cha Tanganyika Packers, Kawe mjini Dar es Salaam. Nape
alihudhuria ibada hiyo kutokana na mwaliko wa kanisa hilo.

(Na Mpigapicha Wetu).

No comments: