Wednesday, February 8, 2012

KUTOKA BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Sumbawanga Mjini Khalfan Aeshi wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Februari 7,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa(CHADEMA) Mh Magalle Shibuda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 7, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


No comments: