Monday, February 27, 2012

Picha Zaidi Za Kilimanjario Marathon 2012

Madam Ritta akimpongeza Binti yake kwa kumaliza mbio za 21KM salama.
Mwanariadha Mkongwe kuliko wote na maarufu katika mbio hizo babu kutoka Arusha akishangilia kumaliza kilometa 21.
Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akishiriki katika mbio za kujifurahisha za”Vodacom 5 KM fun run”
Wakimbiaji wasio washindani wakikimbia mbio za kililometa 21
Mashindano ya Kilimanjario Marathon 2012 yamemalizika hivi punde katika mji wa Moshi ambapo wakimbiaji kutoka nchini Kenya wametia fora katika mashindano haya yaliotimiza miaka kumi kwa kunyakua medali zote za Dhahabu, fedha na shaba huku watanzania wakiambulia moja ya shaba.
Vodacom Kilimanjaro Marathon Fun Run 2012 ikikaribia kuanza
Wadau kutoka Precision Air nao walishiriki katika mbio za Fun Run
Mgeni rasmi , Waziri wa Habari Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama uwanjani.
Mbio za walemavu za Gapco nazo zimetimua vumbi.Picha Zote Zimeletwa na Father Kidevu


No comments: