Sunday, February 26, 2012

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA MBUNGE WA MBEYA MJINI(CHADEMA) JOSEPH MBILINYI ‘MR II A.K.A SUGU’

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr. ii au Sugu’, wakati akiondoka eneo la Uyole, baada ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la SACCOS-UWAMU lililopo Mbeya mjini, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana Februari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa RaisNo comments: