Sunday, February 26, 2012

USIKU WA HIP HOP KUFANYIKA MACHI 4, 2012

Meneja Mkuu wa Global Publishers na Mratibu Msaidizi wa tamasha hilo, Abdallah Mrisho akizungumza katika mkutano huo.
Profesa J akitoa vionjo katika mkutano wa leo.
Wanahabari wakifuatilia jambo kwenye mkutano huo. PICHA : RICHARD BUKOS / GPL


Wadau mbalimbali wa muziki wa Hip Hop hapa nchini, Jumapili ya Machi 4 mwaka huu wanatarajiwa kufurika ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam kuhudhuria onesho kabambe la Hip Hop.

Katika usiku huo wadau mbalimbali waliochangia muziki huu kufikia hapa ulipo watatunukiwa tuzo. Wakali wa muziki huo Profesa J na Joh Makini wamewawakilisha wasanii wenzao wa muziki huo katika mkutano wa kuthibitisha kushiriki tamasha hilo uliofanyika mchana huu ndani ya ofisi za Global Publishers zilizopo Mwenge jijini Dar..

No comments: