Sunday, March 4, 2012

Mama Sitti Mwinyi Na Mama Anne Mkapa Waongoza Wake Za Viongozi Kumtembelea Mama Maria Nyerere

Mke wa Balozi wa Tanzania nchini ibelegiji Mama Kamala akiwa na Mama Maria nyerere
Wake wa Marais wa stafu Mama Siti Mwinyi na Mama Anna Mkapa wakijadiliana jambo wakati walipo mtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake msasani hivi karibuni kwa ajili ya kumpatia tuzo ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania iliyo andaliwa na kikundi cha wake wa viongozi kama ishara ya kutambua mchango wake katika kusaidi kupatikana kwa uhuru wa Tanzania
Mama Maria Nyerere akiwa katika Picha ya Pamoja na Wake wa Viongozi Waliomtembelea.Picha na Habari na Mdau Christopher Mfinanga


No comments: