Tuesday, March 6, 2012

Waziri Kawambwa atembelea Chuo Kikuu Ardhi HAPO JANA


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Shukuru Kawambwa (Mb) akifafanua jambo wakati wa akijibu maswali kutoka kwa watumishi na wanafunzi wa chuo hicho mara
baada ya kufanya ziara katika Chuo Kikuu Ardhi Dar es Salaam kwa ziara
ya Mafunzo. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idrissa Mshoro na
aliekaa kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –Mipango, Fedha na
Utawala Prof. Eliutha MwageniWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Shukuru Kawambwa (Mb)
akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika Chuo Kikuu cha Ardhi
Dar es Salaam kwa ziara ya Mafunzo. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Prof.
Idrissa Mshoro na aliekaa kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –Mipango,
Fedha na Utawala Prof. Eliutha MwageniMakamu Mkuu Chuo Kikuu Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akimweleza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Shukuru Kawambwa (Mb)
mitambo mbalimbali inayotumika kutengeneza Ramani za miji kupitia
picha za anga na satellite. Waziri Kawambwa alifanya ziara ya mafunzo
chuoni hapo jana kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali za Chuo
hichoDk
Evaristo Liwa, Mkuu wa Kitengo cha Geospatial Science katika Chuo
Kikuu Ardhi akimwonesha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe.
Shukuru Kawambwa (Mb) mitambo mbalimbali inayotumika kufundishia
wanafunzi chuoni hapo. Kushoto ni Makamu Mkuu Chuo Kikuu Ardhi Prof. Idrissa MshoroWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Shukuru Kawambwa (Mb)
(Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo hicho
Prof. Idrissa Mshoro, (kulia) Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –Mipango, Fedha
na Utawala Prof. Eliutha Mwageni (Kushoto ) na baadhi ya watumishi wa
Chuo Kikuu Ardhi. Picha zote na Hadija Maulid na Mary Kigosi wa Chuo
Kikuu Ardhi

No comments: