Thursday, March 15, 2012

Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango aapishwa Ikulu

Naibu
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana, Longinus Rutasitara akila
kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  ikulu jijini Dar es
Salaam leo.Wa (pili kushoto anayeshuhudia) ni Katibu Mkuu Kiongozi,
Balozi Ombeni Sefue na (wa tatu kushoto) ni Karani wa Baraza la
Mawaziri, Bwana Gerson Mdemu.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimrekebisha koti Naibu Katibu Mtendaji wa
Tume ya Mipango Bwana Longinus Rutasitara muda mfupi baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi .Kulia ni Makamu wa Rais
Dkt.Mohamed Gharib Bilal aliyehudhuria hafla hiyo. 

(Picha na Freddy Maro)

No comments: