Wednesday, March 14, 2012

Rais Jakaya Kikwete Afungua Warsha Ya Chama Cha Madaktari Wa Kinywa na Meno Jijini Dar Es Salaam


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile akionesha kadi ya uanachama wa heshima ya chama hicho ambayo Rais Kikwete akitunukiwa  wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka ka Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika  hoteli ya Courtyard jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua  mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika hoteli ya Courtyard jijini Dar es Salaam.Picha na IKULU

No comments: