Wednesday, March 7, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI LEO MJINI MOSHI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012 tayari kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha na kushoto kwake ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012
Rais Jakaya Kikwete akizindua mojawapo ya vitabu vya muongozi wa Jeshi la Polisi wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012 Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha wa kulia Rais ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Leonidas Gama
Sehemu ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Polisi uliofunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Moshi leo Machi 6, 2012

(PICHA NA IKULU)

No comments: