Monday, March 26, 2012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Aagana Rasmi na Mwakilishi mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), BW Oluseyi Bajulaye ambaye alikwenda ofisini kwa Wziri mkuu kuaga leo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: