Monday, April 2, 2012

Taswira mbalimbali za Umati Mkubwa na Wafuasi wa CHADEMA ukiwa umekusanyiaka shule ya msingi leganga hivi sasa tayari kabisa kwa mkutano mkubwa wa kuwashukuru Wanaarumeru Kwa Kuichagua Chadema na kumpa ushindi Mgombea wa Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki(CHADEMA)Joshua Nassari aliyekua anachuana Vikali na Mgombea wa CCM Sioi Sumari Kwenye Uchaguzi uliofanyika Jana.

No comments: