Tuesday, March 6, 2012

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akipongezana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (kushoto) baada ya kufungua rasmi kituo cha mabasi madogo ya abiria cha Mbezi Mwisho
Waziri wa
Ujenzi, Dk. John Magufuli akipongezana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
(kushoto) baada ya kufungua rasmi kituo cha mabasi madogo ya abiria cha
Mbezi Mwisho, Barabara ya Morogoro, Dar es Salaam kitakachohudumia
mabasi zaidi ya 80. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Saidi Meck Sadiki na Meya wa Ilala, Yusuf Mwenda (kushoto kwa Waziri).
(Picha na Fadhili Akida).


No comments: