Hii ndio Meli maarufu ya Tawaliq 1 au Meli ya magufuli ikiendelea kuzama mchangani
ILE meli maarufu kama Meli ya Magufuli ambayo Serikali ya Tanzania iiliansa katika Eneo lake la bnahari ya hindio ikivua samaki bila ya Kibali imenza kuzama baharini na imeharibika vibaya.
Meli ya Tawaliq 1 ilikamatwa ikiwa na wavuvi 34 na hadi kufikia tamati ya Kesi hiyo jumla ya wavuvi 20 walitiwa hatiani.
Lakini licha ya Mahakama kuamuru meli hiyo itaifishwe kwa sababu ilikuwa haijulikani na Tume inayojihusisha na shughuli za uvuvi katika Bahari ya India (IOCT) lakini meli hiyo imeanza kuzama kama inavuyoonekana pichani.
Kuzama kwa meli hiyo ni kutokana na kutoboka baadhi ya maeneo hivyo kuingiza maji ndani na kuzama.
Habari kwa Hisani ya Father Kidevu bog
No comments:
Post a Comment