Tuesday, October 11, 2011

Mabalozi Mbalimbali Nchini Wawasili Vsiwani Zanzibar Kumuezi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume

Makamu wa pili wa Rais zanzibar,Balozi Seif Ali Idi akizungumza na mabalozi katika chakula cha usiku alicho waandalia mabalozi hao huko Tembo Hotel mjini Zanzibar
Mabalozi kutoka Nchi mbali mbali wakiwasili Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kutwa moja kwa lengo la kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume.
Mabalozi kutoka nchi mbali mbali wanaowakilisha nchi zao wakishuka katika uwanja wa ndege wa zanzibar kwa ajili ya ziara ya siku mojakwa lengo la kuja kumuenzi Rais wa kwanza marehemu Abeid Aman Karume.
Picha na Habari na Hamad Hija,MAELEZO-ZANZIBAR

No comments: