Tuesday, October 11, 2011

MWAKILISHI Maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Amtembelea Rais Jakaya Kikwete


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kufanya naye mazungumzo jana(jumatatu).
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini.
Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments: