Tuesday, February 28, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AANZA ZIARA YA MKOA WA IRINGAMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiweka jiwe la Msingi katika Soko lililojengwa kwa nguvu za
wananchi la Mfumbi, baada ya kuwasili Wilaya ya Makete kuanza ziara ya
siku tatu mkoani Iringa jana Februari 27, 2012.
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipanda mti wa matunda wa kumbukumbu katika eneo la Chuo cha
VETA cha Wilayani Makete mkoa wa Iringa, baada ya kuweka jiwe la msingi
katika chuo hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya mkoani
Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: