Wednesday, February 8, 2012

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI WAKATI SAKATA LA MGOMO WA MADACTARI LIMECHUKUA SURA MPYANdugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari


Chumba Cha Wagonjwa kikiwa kitupu


Muonekano wa Wodi Mbalimbali


Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu


Vitanda vitupu vikiwa Havina wagonjwa kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini hivi sasa


Viti vya kubebea Wagonjwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili vikiwa vitupu kabisa


Koridoro za hospitali ya Taifa ya Muhimbili Zikiwa Tupu Leo hii kufwatia Mgomo wa Madaktari Nchini


Sehemu ya Mapokezi ya Hospitali ya taifa ya muhimbili ikiwa tupu


Bi Annanilea Nkya(Kulia)na kijo Bisimba wa pili Kushoto wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbli jijini Dar es Salaam Kujionea hali halisi na athari za Mgomo wa Madakatari unaondelea Nchini.Picha na Habari Legal and Human Rights Centre


1 comment:

Anonymous said...

Mungu atusaidie tusiumwe, maana hali inatisha. Suala hili ilitakiwa lichukuliwe kama dharula!! Tuache utani na afya za watu!!!